TENGENEZA ZAIDI YA $5 NA PICOWORKERS
PICOWORKERS Huu ni mtandao unaomsaidia mfanyakazi/mwanachama wake kulipwa baada ya kufanya kazi. Kazi zipo za aina nyingi. Kwa mfano mtu anakwambia umtengenezee email ,au Instagram account akulipe 0.08$, japo ni pesa kidogo lakini ukifanya kazi ndani ya Masaa matatu unakuta ushafanya hata dollar 5 kwa siku ambayo ni sawa na 11500tsh. Kazi zilizopo picoworkers Zipo kazi nyingi mfano kutengeneza gmail account, kutengeneza Instagram account, kulike page na kucomment, kusubscribe channel na nyingine nyingi. Na malipo yanatofautiana mfano unaweza kulipwa 0.8$, 2$, 0.08$, 0.04$, 0.5$ na kadhalika. Njia ya malipo, kuna PayPal, na credit card/master card Kiwango cha chini cha kutoa ni 10$ sawa na 11,500/tsh. Hiyo pesa unaweza kuifikisha kwa siku kulingana na juhudi yako. Jinsi ya kujiunga. Fungua hii link👇👇👇 https://picoworkers.com/?a=c5b56750 Jaza details zote kama inavyotakiwa na ujisajili Hata wewe unaweza kua...